Thursday, August 18, 2016

AT & Peter Msechu wameachia hit mpya 'MSENGENYO'

Leo august 18 saa 7 mchana AT & Peter Msechu wameachia wimbo mpya unaoitwa 'Msengenyo' kutoka Uprise Music uliotengenezwa na producer Fraga.

Wiki hii kulikuwa na gumzo juu ya wasanii hawa kuwa wana bifu la kusemana vibaya na kupeana maneno makali kupitia mitandao ya kijamii.

Kama ulipitwa na bifu la AT na Msechu sikiliza interview zao hapa..


New Tanzania HipHop: Chindo ft. Wakazi, Fid Q & Dully Sykes - TORATI YA MTAA


Torati Ya Mtaa ni single mpya ya msanii Chindo Man, single ambayo imebeba jina la albam yake mpya alioipa jina  "Torati Ya Mtaa". amewashirikisha wakali wa wawili wa Hip Hop (Fid Q & Wakazi) na msanii mkonge wa Bongofleva, Dully Sykes ambaye pia ndio ameutengeneza wimbo huo.

Torati Ya Mtaa is the Swahili phrase which means "Street Laws/Codes" and throughout the song, the three emcees reiterate the codes that run their respective streets, with Chindo hailing from Kijenge Juu (AR City), Fid Q from Mwanza (Rock City) & Wakazi from Stakishari Ukonga (Dar City). Such street tales and guidelines are artistically embroidered over the Typical bongofleva style beat that is so reminiscent of the "P Funk Majani Era", and the familiarity of the sound along with the clever wordplay & rhyme schemes of the rappers, has made TORATI an instant TZ Hip Hop Classic. The Video was directed & edited by Shebuge (Wanene ENT) & Shot on location in Dar Es Salaam, Tanzania (Tandale, Magomeni & Wanene Studios). Color grading done by Lui Arts.

Chindo Man ft. Wakazi, Fid Q & Dully Sykes - TORATI YA MTAA (Official Video)

Saturday, August 13, 2016

KADA WA CCM BW. RAMADHAN RUNZA KATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UENYEKITI UVCCM WILAYA


 Aaliyekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernad Membe akiwa na kada wa CCM Bw. Ramadhani Runza wakati wa mkutano mkuu maalum wa CCM mjini Dodoma.


KAMA ULIPITWA NA HII: KATIBU WA KITUO CHA MSAADA WA SHERIA - TANGA BW. AMADHAN RUNZA KATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UENYEKITI UVCCM WILAYA
Katibu wa kituo cha msaada wa Sheria Tanga, Bw. Ramadha Runza akichangia mada wakati wa warsha ya kimataifa iliyofanyika katika hoteli ya Landmark jijini Dar es Salaam.
Katibu wa kituo cha msaada wa Sheria Tanga, Bw. Ramadha Runza kushoto akiwa na mtendaji mkuu wa TLS Bw. Kaleb Gamaya .

Monday, August 8, 2016

Mwanamuziki Lil Bow Wow kustaafu muziki akiwa na miaka 29

Mwanamuziki maarufu wa nyimbo za 'hip hop' Bow Wow, ambaye jina lake halisi ni Shad Moss, ametangaza kuwa atastaafu kutoka kwenye fani ya muziki akiwa na umri wa miaka 29, mwaka huu 2016.
Ametoa tangazo hilo kwenye mtandao wa Twitter.
Bow Wow alitoa albamu yake ya kwanza 'Beware of Dog' septemba 29 akiwa na umri wa miaka 13, mwaka 2000.
Baadhi ya nyimbo zake maarufu ni "Like You" akimshirikisha Ciara na "Let me hold you" akimshirikisha Omarion Bow wow "That's my name" akimshirikisha Snoop Dogg.
Bow wow amedumu kwa muda wa miaka 23 katika game na kuachia albam zaidi ya 5.