LEO KITAA
B the first
Monday, May 3, 2010
HII NDIO TIMU YA NYUMBANI KWANZA
Hawa machizi nimewafuma kwa mara ya kwanza ndio wanajaribu kuzichek T-Shirt zao zenye nembo ya nyumbani kwanza.
Wajua nini Nyumbani Kwanza ni project iliyoanzishwa na Vichwa Vitatu Toka Coconut Fm kama unvyowaona hapo toka kushoto ni mtu mzima Dj Dr B, Yoram aka Show 5,show gwara pamoja na D the free argent(Hussein Hamis)
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)