Sunday, August 28, 2011

HOSPITALI YA ARAHMA YAVUTA LAINI MPYA YA MAJI

Kutokana na wakati mgumu unaowakuta wakazi wengi mjini Zanzibar wa shida ya maji imekuwa ni hata kwa baadhi ya hospitali ikiwemo hospitali ya Arahma ambayo hivi sasa imeamua kuvuta maji kutoka katika laini mpya huenda ikapunguza kero hiyo kwao

Friday, August 26, 2011

MADEREVA DALADALA ITHAMININI KAZI YENU

Hii ndio staili ya madereva daladala wengi wanapokuwa wanaendesha gari zao, ukifikiria vizuri unagundua kwamba hawaithamini kazi yao ikwa ndio inayowapatia kula Je kwa hali itampelekea abiria kuithamini kazi yenu nyie maderva? badilikeni basi au vipi.

MISHE MISHE ZA TOWN LEO

Siku kuu njema kameeee kawatu ndio basi tena kanaenda kushi tumboni mwa huyu mbabu
Sakata tumba... Eti utakuta huyu jioni yupo TILALILA kesho asubuhi hangover yakatwa na maji shaaa mzigoni anaanza moja
Na huyu ivo ivo

Saturday, August 20, 2011

BARA BARANI KITAANI




KAZI KWAKO...






Tuesday, August 9, 2011

UK KITAANI KIMENUKA

Maduka yakiteketea kwa moto
Mama amejitosa toka gorofani baada ya jengo hilo kushika moto
Toka Manchest sasa kinahamia kunuka London

Wednesday, August 3, 2011

LEO KITAA