Friday, May 23, 2014
Tuesday, May 20, 2014
Tetesi Dj,Dr B soon afungua Studio
Baada ya kupotea kwa muda mrefu kusikika katika Radio Dj Dr B aibuka na mpango wa kufungua Studio yake.
Tetesi hizo zimepatikana kwa rafiki zake wa karibu wakisema kwamba tayari wamepokea vifaa kamili vya studio kutoka kwa Dr B.
Dr B ambae kwa sasa yupo nchini Africa Kusini ambako amesaini mkataba wa mwaka mmoja na kampuni moja iliyopo nchini humo.
Subscribe to:
Posts (Atom)