Saturday, December 13, 2014

MoPlus-Wafundishe (NOIZ)

Moplus aka Baba Wa Ukoo aachia ngoma yake mpya "WAFUNDISHE",iliyo katika HipHop category tembelea website hii kupata wimbo huo https://mkito.com/song/wafundishe/7941

CCM YATUNGIWA NYIMBO ARUSHA KAMA DEDICATION YA ESCROW BALAAA...Click to teach Gmail this conversation is important.

Wakati uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani CCM yazidi patwa na majanga Arusha...yatungiwa nyimbo ya kukashifiwa na msanii machachari arusha anayekwenda kwa jina la Kapuku digital msanii anayetisha sana ktk vichochoro vya mji wa arusha ebusikiliza CCM ilivyo garagazwa hapa chini nibalaaa  kweli arusha ni nomaaa....nyimbo hii ni dedication ya..............