Monday, February 23, 2015

Mkali wa comercial style AY aachia ngoma mpya 'Zigo'

Mkali wa muondoko wa comercial Ambwene Yesaya AY ameachia ngoma yake mpya aliyoipa jina la 'Zigo'.
Wimbo huo wenye ladha kali na mdundo wenye mvuto umeandaliwa na producer NAHREEL huku MARCO CHALI akiwa amesimamia mixing.

King Chiwah atoka na tucheze

Msanii King Chiwa aachia ngoma yake mpya ya Tucheze iliyorekodiwa de fatality music chini ya usimamizi wa Producer Messen selekta.

posted from Bloggeroid

Tongwe rec ya aachia ngoma MALUWELUWE ya Gud Luck