Jamani hapa ni maeneo ya Kikwajuni Zanzibar, kuna watu wanaishi katika Magorofa haya problem ni nini mpaka yapo hivi au ndio msisitizo wa kwamba ni urithi? Hebu serikali ijaribu kuya pa pa! angalau yapendeze au mnaoishi humo kama vipi jichangeni basi myapendezeshe au vipi jamani?
Tuesday, September 28, 2010
Sunday, September 5, 2010
UNA BISHA?
Tunafahamu mbwa hana kawaida ya kuingia baa lakini kwa kizazi cha now mbwa baa wataingia tu hali ndio inaanza, Jiulize mara ngapi umeshakaa baa pembeni akatokea nyau aka paka Je wakianza nao tabia hii Bia zetu zitapona kweli?
Subscribe to:
Posts (Atom)