Jamani hapa ni maeneo ya Kikwajuni Zanzibar, kuna watu wanaishi katika Magorofa haya problem ni nini mpaka yapo hivi au ndio msisitizo wa kwamba ni urithi? Hebu serikali ijaribu kuya pa pa! angalau yapendeze au mnaoishi humo kama vipi jichangeni basi myapendezeshe au vipi jamani?
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments