HAPA PANAITWA MAGOMENI SOKO LA SAMAKI
Tindi ndi ndi ndiiiiiii.......Picha linaanza
Hili ndio soko la samaki la magomeni
Kina mama wakiweka vizuri mizigo yao ya kuni za magamba ya mnazi tayari kwa kujitwika
Haya ni mambo ya kawaida uswazi
Kitu chauliza Wakati mwingine unawza kusema kwa mtanzania kuishi maisha haya ni kawaida lakini kwa upande mwingine Serikali haina buni kuwageukia watu kama hawa na kuwapatia msaada
Is this life????
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments