Thursday, October 31, 2013

Brand new song toka kwa A town Boyz


HipHop joint brand new toka kwa member wa A-town Boyz Sanawari Arusha" DiggoBoy" akiwa ameshirikiana vyema na mkali wa ma chorus "WiseMan", ngoma inaitwa "Dont Judge Me" juu ya beat ya Producer Darsh "Wanene Ent" na vocals+Mixing pande za Noizmekah chini ya Defxtro, sikiliza/Download HAPA

"Ilikuwa kwanza" brand new song Jordan ft Jordan


Kathbeti ft Jordan "Ilikuwa Kabla" Mkono toka Noizmekah Studios, Download/sikiliza HAPA

Saturday, October 26, 2013

J deal ft G Nako - Niambie


Download KIONJO/SNIPPET J deal ft G nako-Niimbie HAPA

Download KIONJO cha NickMweusi & JohMakini


Nickmweusi & Joe Makini www.vmgafrica.com

CMB Prezzo aachia wimbo mpya Marry marry feat Sappy


Kutoka nchini Jackson Makini aka CMB Prezzo ameachia wimbo wake mpya "MARRY MARRY" feat Sappy.

This is the 3 rd single for this year 2013 after his previous hits released “LiqHer” & “Celebration of Life”

The song is written by CMB PREZZO and was produced and mixed by SAPPY – HOME BOYZ PRODUCTIONS – NAIROBI, KENYA.

Wimbo huo mbali na kuchezwa katika vituo vya redio pia tayari unapatikana katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Download RikyWayne & FidoVato ft Defxtro-Hot


Gal HEREna kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na RikyWayne kupitia +255 718 229 154 RikyWayne & FidoVato ft Defxtro-Hot Gal

Kwa waliokosa kuchek FNL (Friday Night Live) tarehe 20 Sept,check out


May C aka MayChedda's interview HAPA akitambulisha official video ya wimbo wake, "Rudgalz" na kuzungumzia changamoto katika muziki na pia mipango yake mipya katika sanaa. Pia Download audio ya Rudgalz HAPA

MayChedda EATV interview

MayChedda-Rudgalz

Mankhain toka West Pasu "Donge"


Msanii Mankhain toka West Pasu pande za Kilimanjaro mjini Moshi, akiwa amemshirikisha Chozi katika ngoma aloipa jina "Donge",production ya Noizmekah Studios Arusha kwa Defxtro, pata kusikiliza/Kudownload HAPA