Kwa waliokosa kuchek FNL (Friday Night Live) tarehe 20 Sept,check out
May C aka MayChedda's interview HAPA akitambulisha official video ya wimbo wake, "Rudgalz" na kuzungumzia changamoto katika muziki na pia mipango yake mipya katika sanaa. Pia Download audio ya Rudgalz HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments