Sunday, February 16, 2014
WASANII BONGO Kusambaza filamu ya Why Linah? Jumatatu hii.
Rose Ndauka
Hemed
KAMPUNI mpya ya usambazaji wa filamu Bongo ya Yuneda Entertainment imeingia katika biashara ya usambazaji baada ya kilio cha wasanii kukosa sehemu za kuuza filamu zao au kusambaziwa, kampuni hiyo inayojali ubora kwa kazi za sinema imeingia nchini kuanza kwa kusambaza filamu ya Why Linah? Filamu hiyo iliyoshirikisha wasanii nyota katika tasnia ya filamu Bongo kama Hemed Suleiman ‘Phd’, Rose Ndauka, Charles Magali ‘Mzee Magali’, pamoja na wasanii wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu Swahilihood, filamu hiyo inaingia leo jumatatu.
Wasanii wamefurahia sana ujio wa kampuni hiyo kwani wanaamini kuwa wengi wataweza kusambaziwa kazi zao kwani moja ya sifa hiyo ni ya kizalendo inayojali maslahi ya wasanii, na inaongozwa na wazalendo wanaojua hali halisi ya soko la filamu nchi Tanzania.
Hivyo kwa kuzingatia umakini na ubora wa filamu Yuneda Entertainment wanakuletea filamu yenye viwango vya kimataifa ya Why Linah?.
Brand new track ya Evoul ft Moshi & Arachuga "Stanza Kaskazini"
Evoul akimshirikisha Moshi na Arachuga katika ngoma yake mpya "Stanza Kaskazini" ikiwa ni Hiphop category toka Noizmekah Studios chini ya defxtro, bofya HAPA kuisikiliza & download
Budz ft BouNako Moplus G.Fasih & BadSpenderz-End of the Beginning
Collabo ya Arusha na Bagamoyo, ngoma ya msanii wa Hiphop Budz akiwa amewashirikisha BouNako, Moplus, G.Fasih pamoja na BadSpenderz. ngoma inaitwa "End of the Beginning" ikiwa ni beat toka Rukkamel records Bagamoyo na vocalz & mixing zimefanywa studio za Noizmekah Arusha chini ya producer Defxtro, Click HAPA kusikiliza/ku-downloadi Budz ft BouNako Moplus G.Fasih & BadSpenderz-End of the Beginning
Subscribe to:
Posts (Atom)