Wednesday, March 19, 2014

Haki sawa majumu kwa wote

Msanii mpya kutoka Tetemesha Barakah Da Prince aachia wimbo wake


Jana ndio Imeachiwa rasmi audio ya wimbo wa BARAKAH Da PRINCE (msanii mpya kutoka Tetemesha Entertainment), baada ya kutoa video yake wiki iliyopita.

Wimbo huo unaitwa Jichunge na umefanywa katika studio ya Tetemesha chini ya maproducer wawili KidBoy na producer mpya anaitwa Nusder.

Tuesday, March 18, 2014

Happy Birthday Msechu


Msanii wa bongo fleva Peter Msechu leo ana celebrate siku ya kuzaliwa kwake na huu ni ujumbe aliotuma kupitia whatsapp:
"Hi.. Namshukuru Mungu leo ni siku yangu ya kuzaliwa ni wengi wanatamani kuona siku kama hizi ila huwa ni kwa huruma zake MUNGU kutuweka hai sio kwamba tunastahili sana kuliko waliokwisha tangulia.. UNGANA NAMI KATIKA KUFURAHIA SIKU HII MUHIMU KWA KILA ALIYEUMBWA...hakuna party 🙈🙈🙈🙈 ila zawadi na cake muhimu"
Happy birthday PETER MSECHU

Monday, March 17, 2014

The brand new hit "Mapenzi Yako" ya Innocent Mkumba imedondoka kitaa


Kutoka One Love FX studio ngoma mpya ya Innocent Mkumba ambayo amemshirikisha mkali kutoka jiji kasoro bahari Belle 9 "Mapenzi Yako" imeingia kitaani rasmi leo.
Ngoma hiyo ambayo imesimamiwa vema na producer Tiddy Hotter imeandikwa na Mkumba na ni miongoni mwa hit ambayo inatarajiwa kutikisa kila kona mtaani.

Sunday, March 16, 2014

Kidfadi rapper chipukizi aachia ngoma "Chuga Lovers'


KidFadi, rapper chipukizi anayetokea Arusha akiwa masomoni jijini Dar es salaam anakuja na ngoma "Chuga Lovers" aliomshirikisha mwanadada Dipper.
Wimbo huu amerecord Noizmekah studio juu ya beat ya Marekani (Mixtape) bofya HAPAKusikiliza/download

Saturday, March 15, 2014

re-edited link error: Novic-Ukweli Halisi


Novic anayewakilisha Vyema Arusha katika Muziki wa Gospel ya Kisasa ana release ngoma kwa jina "Ukweli Halisi" ikiwa ni mkono juu ya beat ya Marekani na vocals pande za Noizmekah Production studios chini ya defxtro, bofya HAPA kuisikiliza/Kudownload

MBUNGE WA CHADEMA AKAMATWA NA JESHI LA POLISI IRINGA AKITUHUMIWA KUGAWA FEDHA KWA WANANCHI


Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa,
Bi.Jesca Msavatavangu akizungumza na
wanahabari jioni ya leo mara baada ya
tukio hilo la kukamatwa kwa Mbunge wa
CHADEMA akigawa fedha kwa wanakijiji
siku moja kabla ya uchaguzi kufanyika.
Uchaguzi wa Jimbo hilo unatarajiwa
kufanyika kesho siku ya jumapili,
ambapo wananchi wameombwa
kujitokeza kwa wingi kupiga kura.
Endelea hapa michuzi blog

4S MRG ft Dipper-Wa Kusoma


Msanii 4S MRG anayewakilisha Marangu Moshi katika game la HipHop akiwa amemshirikisha mwanadada Dipper katika ngoma yake "Wa Kusoma" ikiwa ni mkono Defxtro Noizmekah Production, kuisikiliza/Kudownload bofya HAPA

Starick na Wiseman 'Sitasahau'


Starick akiwa pamoja na Wiseman katika ngoma "Sitasahau" toka noizmekah studios, bofya HAPA kudownload/kusikiliza

MoneyJoker aachia wimbo mpya "Take Me Higher"


MoneyJoker akimshirikisha mwanadada Eslyne pamoja na Mchizi MB 40 katika ngoma "Take Me Higher" iliyopikwa Noizmekah Studios Arusha.
Wimbo huo ni House/Afropop style bofya HAPA kuudownload/Kusikiliza

Wednesday, March 5, 2014

AFANDE SELE AACHIA MWENDO KASI 'chini ya Flexible Music'


Moja kati ya studio ambayo inafanya vizuri katika utayarishaji wa muziki jijini dar es salaam sinza lego Flexible music imekuja tena na Mfalme wa Rhymes Afande Sele na ngoma yake mpya inayoitwa Mwendo kasi aliyoifanya katika studio hizo.

Mwendo kasi ni ngoma ambayo inaelezea ajali mbali mbali zinazotokea barabarani ambazo zinasababishwa na uzembe wa madereva na kusababisha vifo vya wananchi, akiwa amewashrikisha wasanii kutoka mkoani Morogoro Dyna Nyange na Ballet.

Pia wimbo huo ambao umetengenezwa na mtayarishaji kutoka Flexible Music anayeitwa Mbatizaji akiwa ameutengeneza kwa kiwango cha hali ya juu kutokana na vyombo na ubora wa studio, hata hivyo katika wimbo huo ambao umefafanua mambo mengi yatokeayo barabarani.

Kwa mashabiki wa Afande Sele mkae tayari kwa kile kitu ambacho amekizungumza katika wimbo huo maana amezungumza mengi kama unavyojua Mfalme wa Rhymes huwa akitoa kitu hakosei kwa mashabiki wake.

Katika wimbo huo amewazungumzia kwa wale madereva ambao wanakunywa pombe kisha wanaingia barabarani kumata uskani na kuendesha gari kwa mwendo wa kasi na kusababisha ajali pia ameongea kuhusu abiria ambao wanakaa kimya wakati dereva akiwa anaendesha gari kwa kasi.

Na Pia kwa madereva ambao wanaongea na simu huku wanaendesha magari, pia ku overtake katika kona kali maana nao wanaweza kusababisha ajali na kupoteza uhai wa binadamu maana uhai hauji mara mbili.

Mke mtarajiwa wa Dj Dk B akiwa katika pozi

S2R aachia brand new song "Baby Gal"


Msanii S2R akiwa na mdundo toka Benamo recs anadrop wimbo "Baby Gal" ikiwa ni ngoma aina ya dancehall.
Vocal za wimbo huu zimesimamiwa Noizmekah studios Arusha,download www.vmgafrica.com --S2R-Baby Gal (Benamo.Noiz)

Pozi za super stars in Ireland Rec

Mtangazi wa kipindi cha Run the Beats Coconut Fm Yoram, akiwa amechil na mkali wa miondoko ya Commercial Rico Single (kulia) ndani ya Ireland Rec

Baby J na Rico Single

Ujio mpya wa Cannibal


Sikiliza/Download hapa;