Kutoka One Love FX studio ngoma mpya ya Innocent Mkumba ambayo amemshirikisha mkali kutoka jiji kasoro bahari Belle 9 "Mapenzi Yako" imeingia kitaani rasmi leo.
Ngoma hiyo ambayo imesimamiwa vema na producer Tiddy Hotter imeandikwa na Mkumba na ni miongoni mwa hit ambayo inatarajiwa kutikisa kila kona mtaani.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments