Tuesday, April 29, 2014

Click HAPA kusikiliza "Nishakupenda wewe" Criss Daddy Brand new song


Click HAPA kusikiliza "Nishakupenda wewe" ya chipukizi toka Moshi town kwa jina Criss Daddy,kwa mahojiano/mawasiliano na Criss Daddy

Rotten Blood aachia wimbo mpya 'FULL SHANGWE'


[Click HAPA old.hulkshare.com/tuh7y1ydta80] kudownload ngoma "FULL SHANGWE" toka kwa kundi la "Rotten Blood" wakiwakilisha Moshi Town na Arachugana

Sunday, April 27, 2014

Afrika Kusini huru yatimiza miaka 20




Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amekuwa
akiongoza sherehe za kutimiza miaka 20 ya
demokrasi na kumalizika kwa utawala wa
ubaguzi wa rangi.
Akihutubia taifa Rais Zuma alisema Afrika
Kusini inaanza kupona vidonda vya historia ya
ukatili na mgawanyiko na taratibu inajenga
umoja wa taifa.
Lakini alisema bado kuna kazi ya kukamilisha
lengo la kuondosha umaskini, tofauti za pato
na ukosefu wa ajira.
Sherehe hizo zinafanywa kabla ya uchaguzi
mkuu ambapo chama tawala cha ANC
kinakabili upinzani dhidi ya uongozi wa nchi
tangu kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa
rangi mwaka wa 1994.

ANGER TAINER AIBUKA UPYA AACHIA SINGLE MATATA


Baada ya kimya kirefu msanii wa muziki wa bongo Fleva ange tainer aachia wimbo wake mpya unaoitwa “ntamwambia”, wimbo huu matata ameufanyia katika studio za Bantu Music Record chini ya producer anayefanya vizuri kwa sasa si mwingine ni Steve White. Hii ni single ya kwanza kwa Ange tangu aachane na meneja wake wa kwanza, sasa milango ipo wazi kwa yoyote ambaye anaweza kufanya naye kazi kwani ni msanii mwenye kipaji cha hali ya juu.

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA ZILIVYOFANA WAHSINGTON DC,WATANZANIA WAFURIKA


Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na
Watanzania hapa Washington DC
kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano.


Mh:Mwigulu Nchemba akiongozwa na
Balozi wa Tanzania hapa Washington DC
Bi.Libereta Mulamula Kuelekea Kufungua
Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa
Tanzania hapa Washington DC. Bofya hapa michuzi blog

Kamanda toka Miners Crew "Mofaya" aachia ngoma mpya


Kamanda toka Miners Crew "Mofaya" akimshirikisha mwanadada "LadyYoo" wanadrop ngoma kwa jina "Never Be the Same" ikiwa ni reggaeHipHop category juu ya riddim beat, bofya HAPAkudowload/kusikiliza.

Thursday, April 17, 2014

Saturday, April 5, 2014

Rapper Bow M, Bensai, mwanadada Precious na Mwiro wanadrop "My Head"


Rapper Bow M pamoja, Bensai, mwanadada Precious na Mwiro wa MeccaCheka Crew wanadrop na ngoma "My Head" ikiwa ni hiphop category toka Noizmekah, click HAPA kudownload/kusikiliza.

Feza Kessy aachia nyimbo yake mpya ” MY PAPA”


Baada ya kukaa kimya kwa muda
mrefu, Feza Kessy aliyekuwa mshiriki wa shindano la Big Brother huko South Africa sasa yuko tayari kutoka nyimbo mpya inayoitwa “My Papa” na kuwa kuanza na kutoa Teaser Cover yake.