Baada ya kimya kirefu msanii wa muziki wa bongo Fleva ange tainer aachia wimbo wake mpya unaoitwa “ntamwambia”, wimbo huu matata ameufanyia katika studio za Bantu Music Record chini ya producer anayefanya vizuri kwa sasa si mwingine ni Steve White. Hii ni single ya kwanza kwa Ange tangu aachane na meneja wake wa kwanza, sasa milango ipo wazi kwa yoyote ambaye anaweza kufanya naye kazi kwani ni msanii mwenye kipaji cha hali ya juu.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments