Anaitwa Nikki wa Pili aka Nick Mweusi,mwingine kati ya wasanii waliowakilisha ndani ya Mamong'oo remix ya Jambo Squad itakayopatikana rasmi Jumatatu Tarehe 18 Agosti HAPA https://mkito.com/artist- profile/jambo-squad/330 PEKEE... Ukihitaji wimbo usio na matangazo mwanzoni,bofya kitufe cha NUNUA badala ya BURE wakati wa kupakua,na upate wimbo halisi usio na matangazo kabisa kwa 250/=Tsh TU follow @nikkwapili
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments