Anaitwa CHRIS BEE hitmaker WalaWala kutoka Nchini Tanzania, ameachia wimbo wake wa Tano unaoitwa BASHEE aliomshirikisha PETRONIA.
Chris ameshatoa ngoma kadhaa kama WalaWala, Coconut, Urudi na Walawala
remix, ambazo zimemtambulisha vema katika soko la muziki hapa nchini.
download ngoma hiyo kupitia https://www.hulkshare.com/12n1xx3ttq9i
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments