Best Nasso kuja na mkwaju mpya
Baada ya Kusemekana Best Nasso amekamatwa nchini Congo na madawa ya kulevya hatimae ameweka wazi wa mashabiki wake kua tuhuma hizo si za kweli na kutambulisha wimbo wake mpya.
Wimbo huo ameupa jina la "RUMBA" na ameshafanya video yake amesema kuwa wimbo huo utaanza kupatikana kwenye mtandao wa Mkito.com kuanzia jumamosi tarehe 12 mwezi wa 12 ambayo ni siku yake ya Kuzaliwa.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments