Sunday, January 31, 2016
Yuzzo - Dhamana ya haki
Bofya HAPA https://mkito.com/song/ dhamana-ya-haki/18439 kupakua wimbo wa @YuzzoRubama kwa jina #DhamanaYaHaki Produced by #VidarKysnes na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na #Yuzzo kwa nambari +47 969 61 281 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica @j4cinyo @djhaazu #SupportYourOwn
Tuesday, January 26, 2016
Huduma ya usafiri wa bodaboda.
v class="separator" style="clear: both; text-align: center;">
Boda Boda imekuwa ni msaada kwa wananchi na hivi ndivyo inavyotoa huduma kwa jamii.
Thursday, January 14, 2016
D-Father ft J-Deal - Nenda (Mix.Noiz)
Bofya hapa ...https://mkito.com/song/nenda-ft-j-deal/18183 Kupata wimbo wa D-Father toka Moshi Kilimanjaro akimshirikisha J-Deal @jdealmusic, na kwa mawasiliano/mahojiano check na D-Father kwa nambari
Linex gumzo kitaani na 'Kwa Hela'
Msanii wa kizazi kipya Linex aliyetamba na ngoma nyingi kali ikiwemo ile ya Salima ameachia wimbo wake unaoitwa Kwa Hela umezua gumzo kila kona ya mtaa kwa jinsi mashabiki walivyoupenda na kuupokea wimbo huo. wimbo huo amerokodi studio za Happy chini ya mtayarishaji Ema the boy mtayarishaji ambae amepata umaarufu ndani ya mda mchache kwa kazi nzuri anazowafanyia wasanii.
Subscribe to:
Posts (Atom)