Msanii wa kizazi kipya Linex aliyetamba na ngoma nyingi kali ikiwemo ile ya Salima ameachia wimbo wake unaoitwa Kwa Hela umezua gumzo kila kona ya mtaa kwa jinsi mashabiki walivyoupenda na kuupokea wimbo huo.
wimbo huo amerokodi studio za Happy chini ya mtayarishaji Ema the boy mtayarishaji ambae amepata umaarufu ndani ya mda mchache kwa kazi nzuri anazowafanyia wasanii.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments