Friday, September 30, 2011

HALI YA MVUA JANA IMESABABISHA BAADHI YA MITAA KUJAA MAJI NA KUTOPITIKA

Wakazi wa mtaa wa migomba wakutwa na hali ngumu ya nyumba zao kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana kwa muda kutwa nzima ambayo imepelekea kujaa maji kwa mtaa huo hali ambayo imepelekea wakati mgumu wa wakazi hao.
Hali ya maji ilivyojaa mtaa huo

Wednesday, September 28, 2011

HUU NI UZEMBE WA MADEREVA

Hii hali ya kupaki magari mabovu pembeni ya bara bara mpaka lini.
Uzembe wa madereva kupaki magari katikati ya barabara ni uzembe au ni style.

Friday, September 23, 2011

MADERVA KAMA HAWA ETI WAKIWA MBELE ZA WATU WANAJISIFU WANA LESENI

Lawama za kwanza ziwaendee wahusika wanao toa leseni kwa madereva na za pili kwa askari wa usalama barabarani za tatu kwa manispaa jiulizeni kwanini kwa kutazama hizo picha.

Tuesday, September 20, 2011

AYAAAAAAAAAAAA HIVI KWELI?????????

Inadaiwa kuwa huyu ndio mtu wa kwanza duniani kuwa na mdomo mkubwa upooooo!
Chezea domo hili mpaka kopo la soda linaingia wafanya masihara nini.....hili sasa ndio linastahili kuitwa domokaya uongo?