Monday, August 8, 2016

CHIDY YOBO SIO TYPE YANGU 'KMAMY'

Nashangazwa sana na picha zinazo sambaa mitandaoni kwangu mimi nilipiga picha zile kikawaida tu wala hakuna mahusiano yoyote kati yenu niliziona picha mbili moja studio ambapo mimi nilimsindikiza YOBO nyingine pembeni.

Yobo ni mshikaji tu na sivinginevyo si mwanaume wa hadhi yangu nina mahusiano na mtu mwingine .mwanamitindo huyu wa visiwani aliyasema hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha gigebite ya zenj fm.

masiku machache yalio pita kwenye mitandao kulizagaa picha za wa wili hawa moja ya picha hizo ilileta mashaka kwa wapenda burudani pale smartphone ilipo tumika  kuwa photo bullet, kwamuone kano wa picha ilitambulisha kiss baina ya wawili hao.

kiss ambalo lilizibwa na simu ya mkononi  kwa tamaduni za hapa kwetu washirikio huwa ni wapenzi kama picha hapo juu inavyo jieleza lakini Kmamy anasema kwake hilo ni kawaida tu hakuna mapenzi wala hanahisia yoyote kwa msanii huyo anayetamba na wimbo wake mpya wa UNADUNDA.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments