Thursday, August 18, 2016

AT & Peter Msechu wameachia hit mpya 'MSENGENYO'

Leo august 18 saa 7 mchana AT & Peter Msechu wameachia wimbo mpya unaoitwa 'Msengenyo' kutoka Uprise Music uliotengenezwa na producer Fraga.

Wiki hii kulikuwa na gumzo juu ya wasanii hawa kuwa wana bifu la kusemana vibaya na kupeana maneno makali kupitia mitandao ya kijamii.

Kama ulipitwa na bifu la AT na Msechu sikiliza interview zao hapa..


No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments