Katika pita pita ya Leo kitaa nimelifumania jengo hili ambalo ndani ndio kuna studio bora ya mwaka ambayo ilijinyakulia tuzo ya Zanzibar Music Awards 2011. kilichinijia akilini ni kwamba ubora wa kazi si uzuri wa jengo naamini hata yule ambae amewahi kurekodi kazi yake analitambua hilo. Anaeonekana kwa mbali kama anaingia ndani hivi ni mmoja wa wasanii maarufu sana Znz Rico Single nae aliotewa pande hizo.
Studio ya 6 Rec ipo maeneo ya mwera lazima uvuke mto ukiwa umekunja suruali ama ubebwe kama we sharobaro upo? Nje ya studio hii kunalimwa mihogo,matembele,maboga na upupu pia nahisi utakuwepo.
Saturday, October 22, 2011
Friday, September 30, 2011
HALI YA MVUA JANA IMESABABISHA BAADHI YA MITAA KUJAA MAJI NA KUTOPITIKA
Wakazi wa mtaa wa migomba wakutwa na hali ngumu ya nyumba zao kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana kwa muda kutwa nzima ambayo imepelekea kujaa maji kwa mtaa huo hali ambayo imepelekea wakati mgumu wa wakazi hao.
Wednesday, September 28, 2011
Friday, September 23, 2011
MADERVA KAMA HAWA ETI WAKIWA MBELE ZA WATU WANAJISIFU WANA LESENI
Lawama za kwanza ziwaendee wahusika wanao toa leseni kwa madereva na za pili kwa askari wa usalama barabarani za tatu kwa manispaa jiulizeni kwanini kwa kutazama hizo picha.
Tuesday, September 20, 2011
NG'OMBE AGONGWA NA KUPOTEZA FAHAMU KWA ZAIDI YA DAKIKA 30
Sunday, September 18, 2011
Tuesday, September 13, 2011
HALI ILIVYOKUWA KATIKA HARAKATI ZA KUJIOKOA BAADA YA MELI YA MV SPICE KUZAMA
MAISHA YA KITAA
Maisha ya watoto wakati mwingine yanakuwa mabaya kutokana na hali ngumu ya maisha ya wazazi ukimtazama mtoto huyu hana budi afanyeje....
Monday, September 12, 2011
BERY BLACK AFUMWA AKIGOMBANA KWA NJIA YA SIMU
Katika harakati za kuibia kusikiliza kile anachogombania maneno machache amesikika akihusisha madeni, hajasomeka vema kama ni yeye anaedaiwa au anadai coz kabla hajamaliza mazungumzo hayo aliingia kwenye gari huku akionekana amepaniki na hakujulikana ameelekea wapi.
HALI YA MAJI BADO NI TATIZO KWA WANANCHI
I wish one day achukuliwe waziri husuka aishi mtaani kwa muda wa wiki moja aone hali halisi ya wanachi wanavyoteseka kuhusu tatizo hili la maji.
Tuesday, August 30, 2011
Sunday, August 28, 2011
Friday, August 26, 2011
MADEREVA DALADALA ITHAMININI KAZI YENU
Hii ndio staili ya madereva daladala wengi wanapokuwa wanaendesha gari zao, ukifikiria vizuri unagundua kwamba hawaithamini kazi yao ikwa ndio inayowapatia kula Je kwa hali itampelekea abiria kuithamini kazi yenu nyie maderva? badilikeni basi au vipi.
Saturday, August 20, 2011
Tuesday, August 9, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)