HALI ILIVYOKUWA KATIKA HARAKATI ZA KUJIOKOA BAADA YA MELI YA MV SPICE KUZAMA
Kwa ushirikiano na ujasiri waliopewa na Mnyazi Mungu watu waliweza kujikusanya kwa pamoja kwenye mipira wakati wakisubiri kuja kuokolewa Wengine walijisaidia kwa godoro pamoja jokofu
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments