Tuesday, September 20, 2011

NG'OMBE AGONGWA NA KUPOTEZA FAHAMU KWA ZAIDI YA DAKIKA 30

Mara nyingi baraza la manispaa wanakataza uzurulaji wa mifugo ovyo lakini wafugaji hawakomi leo katika harakati za kuvuka barabara ndama huyu alijikuta akigongwa na pikipiki na kuzirai kwa zaidi ya nusu saa.
Ndama akiwa hana fahamu
Pikipiki iliyomgonga ndama huyo imechanguka show yote ya mbele

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments