Saturday, May 28, 2011

Tuesday, May 24, 2011

LEO KITAA YATIMBA MFALME PUB UROA

Mbali na utangazaji The President of Presenters Yoram, jamaa amebainika kumbe ni mkali katika mashine tofauti na vile watu walivyomzoea kusikika Radioni hapa alikuwa akigongo ngoma ndani ya Mfalme Pub kabla Dj DrB hajaanza kazi yake
Ali Dai OP Manager wa Coconut Fm akiwa na vijana wake wakila raha ndani ya Mfalme pub

Jamani pombe raha sana
Aina ya makochi ya asili aka vitanda vya kamba ndio vya kukalia wateja ama kupumzikia kama anavyooneka mmoja wa watanagazaji maarufu wa Coconut Fm ZnZ, Yoram akiwa amechil akilonga na simu.
Hiki ni kitanda cha juu Chabi 6 mashine mkali wa Hip Hop Zanzibar akiwa amejitupia pale huku akishushia kinywji chake saaaaafi

KUJIAMINI RAHA SANA.........HAWA SI WAJEDA ?

Hili ni tangazo lililowekwa na Manispaa kwa lengo la kuzuia magari ya maji yasichote maji katika kisima hiki kilichopo Mnara wa Mbao karibu kabisa na Coconut Fm, Lakini likamera la Leo Kitaa lilipigwa na butwaa kubwa na kujiuliza maswali mengi bila kupata majibu:Moja Hivi hawa wanajeshi wanaishi bila kufuata sheria AU?, Pili Inawezekana wanaishi kibabe AU?, Tatu Kisima ni chao yaani wao ndio wenye funguo AU?, na mengine mengi lakini mmmmmhh nikajisemea hapa No COMENT
Gari la Jeshi likichota maji katika kisima hicho.

Hili ni gari ya maji inayomilikiwa na mtu binafsi ilionekana ikichota maji katika kisima ambacho kimepigwa marufuku kuchotwa maji na Manispaa na milango ya kisima hicho kimepigwa makufuli, Lakini gari hii ilionekana ikiwa katika ulinzi wa wanajeshi wakati ikichota maji,,,, Mmmmmhh Inawezekana lakini sijui Baba kaamua kutinga mzigo wa kazi na kuibuka pale ajipatie maji ya nyumbani kwake kutokana na uhaba wa maji auuuuuuuu yanahitajika kambini mi sijui maaaana saaaafi walijipatia maji yao kwa raundi mbili bana weeeeeeee./

Thursday, May 19, 2011

SERENGETI DANSI LA FIESTA NA SERENGETI FREE STYLE YAIBUKA ZENJI

Maandalizi ya Serengeti Dansi la viesta na Free style ndani ya ukumbi wa Ngome Kongwe yanaendelea
Timu ya Dansi la fiesta kutoka Clouds Fm ikiongozwa na B 12 wakiwa Ngome Kongwe kwa kukamilisha baadhi ya banaz za dansi la fiesta

Mashabiki waliokuja kushuhudia Serengeti Dansi la Fiesta
Mashabiki


Mmoja wa majaji wa Dansi la Fiesta toka THT
Jaji

Baby J mwana dada toka znz nae alikuwa mmoja wa majaji wa Dansi la Fiesta
Kiongozi wa timu ya Dansi la Fiesta B 12 akiwa ni mmoja wa majaji akizunguma machache juu ya dansers hao
Babuu toka Clouds Fm akiongoza mchakato mzima stejini
Kikundi cha majaji kikichakachua
UB 40 moja kikundi kilichoshiriki katika