Hili ni tangazo lililowekwa na Manispaa kwa lengo la kuzuia magari ya maji yasichote maji katika kisima hiki kilichopo Mnara wa Mbao karibu kabisa na Coconut Fm, Lakini likamera la Leo Kitaa lilipigwa na butwaa kubwa na kujiuliza maswali mengi bila kupata majibu:Moja Hivi hawa wanajeshi wanaishi bila kufuata sheria AU?, Pili Inawezekana wanaishi kibabe AU?, Tatu Kisima ni chao yaani wao ndio wenye funguo AU?, na mengine mengi lakini mmmmmhh nikajisemea hapa No COMENT
Hili ni gari ya maji inayomilikiwa na mtu binafsi ilionekana ikichota maji katika kisima ambacho kimepigwa marufuku kuchotwa maji na Manispaa na milango ya kisima hicho kimepigwa makufuli, Lakini gari hii ilionekana ikiwa katika ulinzi wa wanajeshi wakati ikichota maji,,,, Mmmmmhh Inawezekana lakini sijui Baba kaamua kutinga mzigo wa kazi na kuibuka pale ajipatie maji ya nyumbani kwake kutokana na uhaba wa maji auuuuuuuu yanahitajika kambini mi sijui maaaana saaaafi walijipatia maji yao kwa raundi mbili bana weeeeeeee./
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments