Mbali na utangazaji The President of Presenters Yoram, jamaa amebainika kumbe ni mkali katika mashine tofauti na vile watu walivyomzoea kusikika Radioni hapa alikuwa akigongo ngoma ndani ya Mfalme Pub kabla Dj DrB hajaanza kazi yake
Ali Dai OP Manager wa Coconut Fm akiwa na vijana wake wakila raha ndani ya Mfalme pub
Jamani pombe raha sana
Aina ya makochi ya asili aka vitanda vya kamba ndio vya kukalia wateja ama kupumzikia kama anavyooneka mmoja wa watanagazaji maarufu wa Coconut Fm ZnZ, Yoram akiwa amechil akilonga na simu.
Hiki ni kitanda cha juu Chabi 6 mashine mkali wa Hip Hop Zanzibar akiwa amejitupia pale huku akishushia kinywji chake saaaaafi
Mmetisha wakubwa
ReplyDelete