Friday, November 1, 2013

Machari pori "Njoo kwetu"


ShambaBoy Densa, SponsorJay na Dalali toka kundi la Machalii Pori, pande za Ifakara Morogoro wenye maskani yao Arusha Usa River wanaibuka na ngoma yao "Njoo Kwetu" ikiwa ni mkono juu ya beat ya producer Dizzo One wa NewStar Records na vocal +Mixing studio za Noizmekah Productions Arusha, sikiliza/Download HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Machalii Pori www.vmgafrica.com Machali Pori-Njoo Kwetu

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments