Saturday, November 2, 2013

Msanii Chipukizi Suma K aachia ngoma mbili kwa mpigo


Kutoka mbezi beach jijini Dar es salaam SUMA K chipukizi wa bongo fleva ameachia nyimbo mbili kwa mpigo.
Nyimbo hizo akiwa ni 'Kitu gani' na 'Wengi walikutaka' amemshirikisha Simple Jay.
Dope flow studio ndio zimepikwa chini ya Producer dpz.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments