Mwanadada Lady Yoo akiwakilisha Sanawari anakuja na new idea kwa jina "Poa" ikiwa ni hatua za awali katika kukamilisha mixtape yake inayoitwa "Nyumbani Africa" itakayodrop kabla ya pasaka, 2014, ngoma ni mkono toka Atown Records chini ya producer WaBak, bofya
HAPA kuisikiliza/download.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments