Nyota njema huonekana mapema kwa kuthibitisha hilo Richie101 ameachia ngoma yake mpya "KAA PEMBENI" ambayo amemshirikisha mkali Moplus pamoja na Kiranja.
Producer Moscow toka new way music, ndio amemfungulia Richie mwaka 2014
Vocals na mixing ya wimbo huo vimefanyika Noizmekah Studios, click
HAPA kuisikiliza na download.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments