Tuesday, July 22, 2014

Kampanga & Q Pac-Dingi Ataleta (NOIZ)


Msanii wa hip hop Kampanga akiwa mkali Q Pac" waachia Ngoma yao ya Hiphop walio ipa jina la "Dingi Ataleta" kusikiliza na kudownloa bofya hapa..www.vmgafrica.com --Kampanga & Q Pac-Dingi Ataleta (NOIZ)

Thursday, July 17, 2014

Wednesday, July 16, 2014

African Reggae Ambassodor Jhikoman kutingisha jukwaa la 5th Internatinal African Festiva Tubingen 2014

wanamuziki maarufu wa reggae barani Afrika Jhiko Manyika aka Jhikoman kutoka Bagamoyo,Tanzania,anatarajiwa kupanda jukwaani katika maonyesho makubwa ya kimataifa ya 5th.International African festival Tubingen 2014,nchi ujerumani. Mwanamuziki huyo nguli wa reggae amepewa nafasi ya pekee ya kutumbuiza mara mbili kwa siku tofauti katika viwanja vya onyesho hilo Festplatz,Europa str. mjini Tubinge kusini mwa ujerumani, ambako maonyesho yatafunguliwa 17.julai 2014 hadi 20.Julai 2014,maonyesho ya Tubingen yategemewa kukusanya umati wa watu zaidi ya 100,000 na yanazishirikisha bendi na wasanii mbali mbali wa nchi za kiafrika.Pia Mabalozi na wawakilishi wa nchi mbali mbali za kiafrika wameshaanzakuwasili katika mji huo wa Tubingen ,kuudhuria maonyesho hayo. http://www.jhikoman.com/ https://www.youtube.com/watch?v=aJJyZ3NTrts

Monday, July 14, 2014

Kitu kimetoka mambo ya contractor hayo



Kitu kimetoka

A dream has become reality - Germany

The Bayern Munich star became Germany's hero by scoring the winner and he struggled to contain his delight after the final
Mario Gotze says it was a dream came true as he helped Germany to World Cup glory by scoring the only goal of the game in Sunday's final against Argentina at the Maracana.

The Bayern Munich attacker started the match against the South Americans from the bench, but was brought on late in the second half to replace Miroslav Klose.

Gotze didn't let head coach Joachim Low down and found the net in the 113th minute after a cross from Andre Schurrle to fire Germany to their fourth World Cup title. Cont.....


Friday, July 11, 2014

Dully Sykes ft JamboSquad-Kiporo (NOIZ) KIONJO


Download KIONJO cha wimbo mpya toka kwa Dully Sykes akiwashirikisha Jambo squad. kwa Jina "KIPORO" na WIMBO KAMILI unapatikana HAPA ,Jiunge sasa upate kusikiliza namna inavyokuwa Kariakoo na Ngarenaro zikikutana Noizmekah Production Studios.

Sunday, July 6, 2014

Wananchi wenye hasira kali waziba barabara kwa kuwasha moto na kuvamia maduka mji mdogo wa Limpopo prov. Matoks

Wananchi wawasha moto barabarani na kuvamamia moja ya duka la vyakula mji mdogo wa Limpopo, Matoks na kuiba kila kitu katika duka hilo. Wananchi hao wamedai kuwa kiongozi wao wa mji huo Chief amekuwa akitoa viwanja kiholela hata maeneo yasio ruhusiwa, moja ya eneo la duka lililovamaiwa ni sehemu amabayo inatakiwa kujengwa barabara lakini Chief amegawa eneo hilo kwa mwekezaji wa kigeni.

mafundi wa paving wakiwa katika harakati za kuripea