Wananchi wawasha moto barabarani na kuvamamia moja ya duka la vyakula mji mdogo wa Limpopo, Matoks na kuiba kila kitu katika duka hilo.
Wananchi hao wamedai kuwa kiongozi wao wa mji huo Chief amekuwa akitoa viwanja kiholela hata maeneo yasio ruhusiwa, moja ya eneo la duka lililovamaiwa ni sehemu amabayo inatakiwa kujengwa barabara lakini Chief amegawa eneo hilo kwa mwekezaji wa kigeni.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments