Monday, September 29, 2014

Why Not-Kupang​a ni Kuchagua (NOIZ)

Msanii chipukizi "Why Not" ameachia track yake yenye miondoko ya Dancehall toka Noizmekah production Studios chini ya Defxtro,"KUPANGA NI KUCHAGUA" ndio jina la wimbo bofya hapa kwa kusikiliza www.vmgafrica.com

Navigator ft Mabruk-Afr​ican (Riddim.No​iz)

Wimbo wa Navigator ft Mabruk ikiwa ni Reggae Riddim Category kwa jina "African Girl" imedondoka kitaani rasmi Navigator ft Mabruk-African (Riddim.Noiz)

Wednesday, September 24, 2014

Mkumbuke mwanamapibduzi Abdulrahman Mohamed


Komredi Professor Abdulrahaman Mohamed Babu alikuwa mwanasiasa,mwanamapinduzi msomi,mwandishi,mchumi, na ujamaa kwake ulikuwa ni mfumo wa maisha yake. Tunapowataja na kukumbuka wakongwe wa siasa na wapambanaji waliosimama kidete kuhakikisha kuwa wafrika tuna jikomboa kutoka katika makucha ya ukoloni uwe mkongwe au ukoloni mambo leo,jina la marehem Abdulrahman Mohamed Babu (RIP)alitasahulika, ambaye kama angelikuwa hai tarehe 22 September ndio siku yake ya kuzaliwa. Historia inatuelezea kuwa mwanamapinduzi marehem Prof. A.M.Babu alizaliwa 22 Sept 1924 huko kisiwani Unguja,Zanzibar, na alifariki dunia 05.08.1996, marehem Prof. A.M.Babu anakumbukwa kwa mengi pamoja na kuwa engineer wa mapinduzi ya visiwani 1964 yalimfanya sultani akimbie na kusahau kiremba kitandani.

TrueStorr​y By Dogo D - SiweZi Kuwa wako

DicBero ft K Shiner-Str​ess (NOIZ)


DicBero akiwa amemshirikisha K-Shiner katika ngoma ya "STRESS" toka studio za Noizmekah Arusha chini ya Defxtro,

Kassim Mganga FT Lamar I LOVE YOU REFIX

FILAMU YA MSHALE WA KIFO KUINGIA SOKONI

Aisha Bui katika pozi
Aisha Bui akiwa na Gabo katika moja ya scene za filamu ya Mshale wa Kifo iliyorekodiwa Morogoro
Aisha Bui na Gabo wakipumzika baada ya kazi nzito kushuti Morogoro.
FILAMU YA MSHALE WA KIFO KUINGIA SOKONI AISHA Fathi ‘Aisha Bui’ anafunguka kwa kutamba kuwa filamu yake mpya inayoingia sokoni siku ya jumatatu, itadhihiri kipaji chake katika tasnia ya filamu, kwani amewakilisha wazo lake moja kwa moja bila kupigwa alichoandika ingekuwa ni kazi ya kushirikishwa isingekuwa rahisi. “Najua kila mtu anakuwa na uwezo wake katika filamu lakini unaweza kushindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kukosa nafasi ndio maana mimi nimeamua kutumia kampuni yangu kutimiza ndoto zangu, wiki hii Yuneda Entertainment wanasambaza kazi yangu mtaani,”anasema Aisha Bui. Sinema hiyo ya Mshale wa Kifo inasambazwa na kampuni ya kizalendo ya Yuneda Entertainment ya Jijini Dar es Salaam, ikiwa imetayarishwa na Aisha Bui chini ya kampuni yake ya Badgirl Entertainment filamu yake ya kwanza mwanadada huyu. Filamu ya Mshale wa Kifo inawakutanisha wasanii nyota wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu Bongo kama vile Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’, Mzee Korongo, Salim Ahmed ‘Gabo’, Aisha Bui na wasanii wengeine wakali, Aisha anasema pia anazindua kampuni yake ya Badgirl Entertainment inayotoa filamu ya Mshale wa Kifo

Q Chilla ft MB Dog "Nimpende Nani"

Baada ya kimya kirefu Q Chillah amerudi kwa nguvu kubwa akiwa ndani ya Kampuni ya QS Mhonda J Entertainment, Apex Group Of Companies,Chini ya Meneja Eric Mbeyale wa Jijini Dar Es Salaam.Na single yake ya kwanza chini ya Uongozi mpya anaiachia inaitwa Nipende Nikupende ikiwa imeandaliwa na mtayarishaji C9, Bofya HAPA kuipakua.

Wednesday, September 17, 2014

"WEMA KWA UBAYA LINEX"

LINEX a.k.a MJeda! ameachia wimbo mpya alioupa jina " WEMA KWA UBAYA". audio na video kwa pamoja vipo kitaani.

P the native ft fred mulla uwezo

Baada ya track yake ya kwanza iitwayo "Kaza roho" aliofanya na Azma,ameachi ngoma mpya aliyoipa jina la UWEZO akimshirikisha Fred Mulla. Ngoma imerokodi Studi ya Racers Music chini ya producer GS, sapoti yako muhimu sana saka wimbo huo upate kusikia uwezo alioonyesha.

909 INTRODUSED NEW TRACK "NJOO HAPA"

The long wait is over 909 inakuletea a New Song called NJOO HAPA today, The Up & coming Tanzanian music group "909" that brought you the single Chezea Mimi that reached top three on the Airtel Africa Chart Show is releasing a song today called NJOO HAPA "Njoo Hapa" is a song for the people, we live in an age where men and women don't trust each other... Women believe that men are liars and for the most part its true but it's not entirely true, so the song is about giving people especially women hope that there is still love out there, good guys still exist and they shouldn't use their past experiences to dictate their future happiness.