Baada ya track yake ya kwanza iitwayo "Kaza roho" aliofanya na Azma,ameachi ngoma mpya aliyoipa jina la UWEZO akimshirikisha Fred Mulla.
Ngoma imerokodi Studi ya Racers Music chini ya producer GS, sapoti yako muhimu sana saka wimbo huo upate kusikia uwezo alioonyesha.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments