Wednesday, November 12, 2014
Mtoa Lock[LAST WARNING] ft. FIDOVATO - NyaMAZA[Coming Soon]"
Mtoa Lock Akiwa anawakilisha Vizuri Crew[KUNDI] La Mamangi wa Kichaga[Last warning] AnataraJia Kuachia Single Mpya Alio Mshirikisha FIDOVATO ilio Fanyika Chini Ya Producer GONCHAER ndani Ya [M.A.J.E.M.B.E REC] 13|11|2014
Tuesday, November 11, 2014
AMINI NA UJIO MPYA "MBELEKO" (New track)
Amini Mwinyi Mkuu almaarufu kama Amini aachia ngoma yake mpya ya "Mbeleko" iliyopo katika miondoko ya mchiriku anaomba sapoti kubwa kwako mdau wa muziki ili kumuwezesha kufika anga za kimataifa
Embe dodo remix-Beeman,Dullayo,J Deal,Wyre,Banana Zorro,Jordan,Steve RnB & Ben Pol
Pata wimbo mpya wa kijana wa kitananzania Beeman akiwa ameshirikiana na wasanii wakongwe katika muziki wa bongo flavour ikiwa ni pamoja na Steve RnB, Banana Zorro,J Deal,Dullayo,Ben Pol,Jordan pamoja na star wa dancehall kutoka Kenya Wyre,ngoma imetengenezwa chini ya Producer John Blass wa Grandmaster Records Tanzania na katika ushirikiano mkubwa toka Lovechild Records Sikiliza/Download ngoma mpya ya Beeman "Embe Dodo Remix" ft J Deal, Dullayo,Jordan,Wyre,Banana Zorro,Steve RnB na Ben Pol toka produced by John Blass hapa; https://mkito.com/song/embe-dodo-remix-beeman-ft-j-dealdullayojordanwyrebanana-zorrosteve-rnb-ben-pol/3342
Saturday, November 8, 2014
NGOMA MPYA YA MAN TUZZO.
MAN TUZO artst toka Mtwara Tanzania anae fanya kazi za music mjini Zanzibar akiwa tayari ameshafanya kazi studio tofautitofauti Jupiter rec" G-rec" na island records na kuachia hit kali kama Natamani aliyomshirikisha Rico single, love akiwa na Pasha na nyingine kibao Man tuzzo Anafanya music wa Rn'b & afropop na sasa anakuja na ujio wake mpya chini ya producer Aloneym ngoma inaitwa TAWIRE kutoka Island rec
Brand New Track "Gimme A Call" - Hisia
Baada ya ukimya mdogo star kutoka TPF ambaye ametamba na ngoma zake kama Mawazo na Just fo you amerudi tena,"nimeona nifanye kitu kitogo kwaajili ya mashabiki wangu huku nikiendelea kuboresha tamasha la muziki wa hisia,nawapenda sana",anasema Hisia,hii ni ngoma yake mpya inaitwa "Gimme A Call" ikiwa ni mkono wa John Blass wa Grandmaster Records.
WAWEKEZAJI WA KIGENI WATUPIWE JICHO NA SHUGHULI ZAO
Je ! Huu ndio uwekezaji wenyewe ? Idara ya Uhamiaji mpo wapi ? ah ! "MGENI WA MUNGU HUYU" mwache ajitafutie riziki !
Baadhi ya wawekezaji wa kigeni au pengine watumishi raia wa kigeni wamekuwa wakivunja sheria za nchi kwa kujiingiza au kufanya shughuli zisizo katika miktaba yao ya kazi,au nje ya vibali vyao vya kufanyakazi hapa nchini Tanzania,lakini uvunjwaji wa sheria za nchi unaofanywa na wageni hawa unasaidiwa na sisi wenyewe kwa kuzingatia zile mila zetu na misemo ya ah ! "MGENI WA MUNGU HUYU" mwache ajitafutie riziki. Matokeo yake tumekuwa na wachoma mahindi mtaani kutoka china,wabeba zege pia, Kumradhi pengine makahaba au changudoa kwenye madangulo ya siri. tunaweza kuwa na wakaanga samaki, walinzi "Kolokoloni" kutoka Thailand na Bangladesh, inawekana kabisa tunao hapa nchini wapishi na tour guider kutoka nchi za ulaya ! Kwa mtindo na utamaduni wetu huu wa ah! wache "WAGENI WA MUNGU " wajitafutie ridhiki tutajikuta tunao akina mama ntilie wakigeni. Tunajiuliza wale wawekezaji wanajiusha na biashara za mitumba au maduka ya nguo kariakoo hivi vibali aliwapa nani? yaani muuza mtumba na duka la sukari atoke china,Yemen,Bangladesh ulaya ! hii kweli inaingia akilini kwa watanzania? Sasa wawekezaji hawa kigeni wanafanya shughuli hizi mcha wa jua kali tena kweupe Mkondo wa sheria ya nchi unavunjwa walinzi wa sheria wako wapi? Wizara zinazohusika amlioni hili au ndio ah! TUWAACHE WAGENI WA MUNGU wajitafutie ridhiki ? Watanzania ukarimu ni jadi yetu ! misemo hii haifanani kabisa na ukiwikaji wa sheria za uhamiaji na ajira za nchi, kwani katu kwame uruma na haki havikai pamoja.

Tuesday, November 4, 2014
Listen Music of Ngoma Africa Band
You're busy.You haven't got time to listen to every note of every song that comes across your desk.That why we've made it easy for you to enjoy a few-minute of some of our best songs at www.ngoma-africa.com. That all takes.Few minutes.And you're done. If you like what you hear,please contact Us for our full-length CDs.... Or you wanna book the band for concert,Festivals national and Internationaly tour,please contact Us. Sincerely Yours
GWANDA ZA KAMANDA RAS MAKUNJA
GWANDA ZA KAMANDA RAS MAKUNJA HAZIFANANI NA ZA JESHI LA TANZANIA Inasemekana ndie msanii anayepiga gwanda za kutisha ,na sheria ya nchi ya ujerumani inamuruhusu, kwa hizo ajafunja sheria ya bongo
Gwanda za mkuu wa kikosi cha FFU-ughaibuni Kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band ambaye pia ni mmliki wa himaya ya Viumbe wa ajabu "Anunnaki Empire" yenye makao yake kule Ujerumani,gwanda za mkuu huyo hazina uhusiano wowote na JWTZ,na zoezi linaloendeshwa hapa bongo la kuwasaka wasanii wenye mavazi ya kijeshi ,kamanda Ras Makunja na kikosi chake haliwahusu kwani wao wanaishi nje ya mipaka ya Tanzania,lakini kama ingekuwa wanaishi hapa labda ndio... Habari zimetonya kuwa mwanamuziki huyo nyota wa kimataifa anayetamba na Bongo Dansi lake kule Ughaibuni Ras Makunja anakijua nini anachokifanya na pia anaheshimu sheria za nchi yake Tanzania kwani gwanda zake uzivalia nje ya mipaka ya Tanzania ,na anapokuja Tanzania kwa likizo yeye ni raia mwema tu vianzo vya habari vimetonya.mwanamuziki mwingine mwenye gwanda za kutisha katika kikosi cha Ngoma Africa band ni Soloist wa bendi hiyo Christian Bakotessa aka " Afande Chris-B Mshenzi wa solo gitaa" hawa jamaa wanatishaga kule ughaibuni majukwaani wao kuvaa gwanda ni kitu cha kawaida ulaya tena wakisindikizwa na ulinzi wa maaskari wa ulaya ! watupie jicho kambini kwao www.ngoma-africa.com

Blame On Me
Gosby lets off a new tune from his upcoming mixtape, MISSTAPE . “Blame On Me,” featuring Godzilla, produced by Fundi Samweli, additional vocals by Damian Soul . Check it out below Gosby's hulkshare profile. Link: http://www.hulkshare.com/mitaa/blame-on-me-gosby-feat-godzilla
Subscribe to:
Posts (Atom)