Baada ya ukimya mdogo star kutoka TPF ambaye ametamba na ngoma zake kama Mawazo na Just fo you amerudi tena,"nimeona nifanye kitu kitogo kwaajili ya mashabiki wangu huku nikiendelea kuboresha tamasha la muziki wa hisia,nawapenda sana",anasema Hisia,hii ni ngoma yake mpya inaitwa "Gimme A Call" ikiwa ni mkono wa John Blass wa Grandmaster Records.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments