Saturday, November 8, 2014

NGOMA MPYA YA MAN TUZZO.

MAN TUZO artst toka Mtwara Tanzania anae fanya kazi za music mjini Zanzibar akiwa tayari ameshafanya kazi studio tofautitofauti Jupiter rec" G-rec" na island records na kuachia hit kali kama Natamani aliyomshirikisha Rico single, love akiwa na Pasha na nyingine kibao Man tuzzo Anafanya music wa Rn'b & afropop na sasa anakuja na ujio wake mpya chini ya producer Aloneym ngoma inaitwa TAWIRE kutoka Island rec

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako/ Leave your comments