Msanii wa bongo fleva Edu Boy ameachia wimbo mpya aliomshirikisha
Mr T "Dumange" msanii huyo ambae alikuwa namba moja katika mashindano ya serengeti fiesta mwaka 2012 na kuachia hit song kadhaa kama "Pata pesa tujue tabia yako" ambayo amemshirikisha Belle 9.Edo ambae anaiwakilisha Rock City Mwanza ameachia wimbo huu tofauti na miondoko yake ya hip hop ambayo amezoeleka ambayo imetengenezwa na producer Mr T Free Nation studio.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments