Thanks @cloudstv, kwa mara ya kwanza kwa kijana ninae msimamia @poziadim kutokea visiwa vya Zanzibar chini ya #GoodfatherEnt , Video yake imechezwa @cloudstv, , Nimefurahi sana, ila sijafurah ngoma kupata air time tuu, Bali pia Furaha yng ni pale nilipo gundua kwamba tumefanya kazi nzur yenye Viwango ambavyo Vimetuvukisha maji, Audio ni zanzibar, Video ni Zanzibar... Sasa hakuna sababu nyimbo za zanzibar zisipigwe Dar_es_salam, Viwango vya Mziki wa Zanzibar kwa sasa ndio vile vile vya Bongo, Hatuja record dar, wala hatuja shoot dar na Tumefanya kazi Bora:
Kilicho baki ni mashabiki wa Mziki wa zanzibar mlioko Dar, Ombeni sana ngoma zetu kwny Vituo vya t.v na radio za uko,..ili Mukitangaze kisiwa chenu na Wasanii wenu uko, Tunafanya kazi nzur na mnaona Hatuta waamgusha::
Shukran kwa Producer @aloneym1,pamoja na Mkurugenzi wa Bahati international Video Zanzibar @billwillium:
#GoodfatherEnt #ZanzibarVibes
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments