Wakati zoezi la upigaji wa kura linaendelea visiwani Zanzibar wafanyaji nao wanaendelea na biashara zao kama kawaida
Wakati zoezi la upigaji wa kura linaendelea visiwani Zanzibar amani imetawala kutokana na hali ya usalama kuwa kubwa wafanya biashara wa soko la mwanakwerekwe wanaendelea na biashara zao kama kawaida.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments