Mkubwa na wanawe wamtambulisha msanii mpya Ge2 rasmi katika anga ya muziki Tanzania aja na wimbo "Sitaki Tararira.
Msanii mpya kutoka kundi la Mkubwa na Wanawe Ge2 ameachia wimbo wake wa kwanza "Sitaki Tararira"
Wimbo uliofanywa chini ya studio za Mkubwa na Wanawe na Producer Shiriko umetambulishwa rasmi julai 11 na na sasa umekuwa gumzo kitaani kuwa muziki toka Temeke haukosi cha kuwagusa mashabiki.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments