Mwaka wa Shetani kama alivyoimba Mh. Temba na kufanikiwa kuteka hisia za wengi kupitia ngoma hiyo umekuwa na mitazamo tofauti kwa kila mmoja; 2015 umepita na mabalaa yake huku ukiacha historia na maumivu Makali kwa Msanii Wanee kukaa Bila Kuachia Hit Song
Pamoja na mambo mengine 2016 unaweza kuwa Mwaka wa Shetani kwa Msanii Hamis Amani Wengi wanamwita (Wanee) ambaye kwa Sasa Father Jams (Producer Freezo) ameamua kumrudisha kwenye mstari baada ya kukaa kimya muda Mrefu.
Sasa baada ya Wanee kuamua kuzaliwa upya kwa mara ya pili, taarifa ikufikie kwa sasa ufanyaji kazi wake wa zamani na sasa umebalilika, kivipi? nini sababu ya kufanya hivyo? Kesho Saa Kumi Tembelea Tovuti Hii Utamskia Wanee Akizungumza yote kwenye (UBAYA)
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments