Katika harakati za kuibia kusikiliza kile anachogombania maneno machache amesikika akihusisha madeni, hajasomeka vema kama ni yeye anaedaiwa au anadai coz kabla hajamaliza mazungumzo hayo aliingia kwenye gari huku akionekana amepaniki na hakujulikana ameelekea wapi.