Kutokana na wakati mgumu unaowakuta wakazi wengi mjini Zanzibar wa shida ya maji imekuwa ni hata kwa baadhi ya hospitali ikiwemo hospitali ya Arahma ambayo hivi sasa imeamua kuvuta maji kutoka katika laini mpya huenda ikapunguza kero hiyo kwao
Hii ndio staili ya madereva daladala wengi wanapokuwa wanaendesha gari zao, ukifikiria vizuri unagundua kwamba hawaithamini kazi yao ikwa ndio inayowapatia kula Je kwa hali itampelekea abiria kuithamini kazi yenu nyie maderva? badilikeni basi au vipi.
Siku kuu njema kameeee kawatu ndio basi tena kanaenda kushi tumboni mwa huyu mbabu Sakata tumba... Eti utakuta huyu jioni yupo TILALILA kesho asubuhi hangover yakatwa na maji shaaa mzigoni anaanza moja Na huyu ivo ivo