Saturday, December 13, 2014
MoPlus-Wafundishe (NOIZ)
Moplus aka Baba Wa Ukoo aachia ngoma yake mpya "WAFUNDISHE",iliyo katika HipHop category tembelea website hii kupata wimbo huo https://mkito.com/song/wafundishe/7941
CCM YATUNGIWA NYIMBO ARUSHA KAMA DEDICATION YA ESCROW BALAAA...Click to teach Gmail this conversation is important.
Wakati uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani CCM yazidi patwa na majanga Arusha...yatungiwa nyimbo ya kukashifiwa na msanii machachari arusha anayekwenda kwa jina la Kapuku digital msanii anayetisha sana ktk vichochoro vya mji wa arusha ebusikiliza CCM ilivyo garagazwa hapa chini nibalaaa kweli arusha ni nomaaa....nyimbo hii ni dedication ya..............
Wednesday, November 12, 2014
Mtoa Lock[LAST WARNING] ft. FIDOVATO - NyaMAZA[Coming Soon]"
Mtoa Lock Akiwa anawakilisha Vizuri Crew[KUNDI] La Mamangi wa Kichaga[Last warning] AnataraJia Kuachia Single Mpya Alio Mshirikisha FIDOVATO ilio Fanyika Chini Ya Producer GONCHAER ndani Ya [M.A.J.E.M.B.E REC] 13|11|2014
Tuesday, November 11, 2014
AMINI NA UJIO MPYA "MBELEKO" (New track)
Amini Mwinyi Mkuu almaarufu kama Amini aachia ngoma yake mpya ya "Mbeleko" iliyopo katika miondoko ya mchiriku anaomba sapoti kubwa kwako mdau wa muziki ili kumuwezesha kufika anga za kimataifa
Subscribe to:
Posts (Atom)




