Mmoja
wa Mwanamazingaombwe wa mjini Iringa aliyejitambulisha kwa jina la
Almas a.k.a Afande Sele akionesha akadabla akadabla zake mbele ya umati
wa wakazi wa Iringa waliojitokeza kwa wingi jana jioni kwenye uwanja wa
Mwembe Togwa,mjini Iringa wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya
airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za
mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itaendelea kutambulishwa tena
katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza
Source http://djchoka.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako/ Leave your comments